Vunja Mbavu 4.0.9

Licenza: Gratuito ‎Dimensioni del file: 3.04 MB
‎Valutazione utenti: 2.5/5 - ‎7 ‎Voti

Circa Vunja Mbavu

Kiswahili: Vunja Mbavu ni programu ya simu janja ambayo inawawezesha watumiaji kutafuta na kusoma vichekesho na vunja mbavu nyingi zilizoandikwa kwa lugha ya kiswahili. Tunaamini kwamba kucheka huleta furaha katika maisha na tunaamini kuwa kucheka ni zaidi ya tiba kwa binadamu. Vunja Mbavu ina mjumuisho wa vichekesho ambavyo vinaweza kumfanya mtu yeyote akacheka na kuburudika. Jambo la kufurahisha zaidi ni kuwa, vichekesho vyetu vinaweza kusoma au kuangaliwa na familia pia kwa sababu havina lugha ya kuudhi au matusi. Vichekesho vyetu viko katika mfumo wa maandishi, katuni, picha, sauti, na video jambo linalompa kila mtumiaji wa programu hii wasaha wa kufurahi kwa kila aina ya vichekesho. Aidha kuna: Vičekesho Vioja Katuni Makala Simulizi Siasa Jamii Piča Dei video Inglese: Vunja Mbavu è un'applicazione che consente agli utenti di cercare e leggere barzellette scritte in lingua swahili. Crediamo che ridere possa avere un impatto sulla vita della felicità e crediamo che ridere sia più di un farmaco per le persone stressate. L'app Vunja Mbavu ha una raccolta di battute diverse che possono far ridere e divertirsi chiunque. La cosa buona è; Vunja Mbavu è per tutti anche scherza in famiglia perché regolamentiamo linguaggi offensivi e crediamo che chiunque possa ridere senza sentire parole abusive.